PASTOR FRANK JULIUS akiwa anahubiri studio za BREEZE FM Tanga katika kipind cha African Gospel Time
PASTOR FRANK JULIUS WA SHILO CHURCH AKIWA STUDIO ZA BREEZE FM Tanga Akiwa anahubiri neno la mungu..
Kama ndo kwanza unajiuliza wewe mkazi wa Tanga unajiuliza kanisa la shilo church linalotumiwa na mungu kwa hali ya juu sana kupitia mtumish wa mungu Pastor Frank Julius kanisa lipo Majestic linaangaliana na shule ya old Tanga karibu uabudu na shilo church
No comments:
Post a Comment