NI SIKU YA WAPENDANAO HAIMAANISHI KWA WALE WENYE MAHUSIANO TUUU. HAPANA HATA YULE AMBAYE UNAHISI UNAMPENDA SANA AWE BABA,MAMA,NDUGU AU RAFIKI ANAWEZA AKAWA VALENTINE WAKO KWAHIVYO USWAZEE YOTE NI SAWA.
Jijin Tanga Alhamisi hii AGAPE CHURCH wanatarajia kufanya talk shoo ya nguvu yenye
ushuhuda mzuri sana ambao utatolewa na mmoja wa wamama ambaye aliokoka katika kanisa hilo
jambo ambalo halikumpendeza mme wake na kujikuta anaachwa na mmewe kwa mda wa miaka 25 sasa basi ukitaka kujua ilikuwaje na nin kimetokea nenda leo kama wew ni mkazi wa Tanga.
No comments:
Post a Comment