AIC KAMBARAGE SHINYANGA YAPOTEZA MWIMBAJI WAO
Marehemu Jane katikati aliyekumbatia kitabu akiwa na waimbaji wenzake.
Kwaya ndugu ya AIC shinyanga wana wa Ng'ang'ania iitwayo AIC Kambarage Choir siku ya jana jioni imempoteza mmoja wa waimbaji wake mahiiri wa sauti ya kwanza na ya pili aitwaye Jane ambaye alikuwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga kwa matibabu.
No comments:
Post a Comment