Thursday, January 24, 2013

J.SISTERS IN GOSPEL MIKAKATI AMBAYO WAPO NAYO KWA 2013 JE WATAKA KUJUA NIN WANAKUANDALIA  MSIMU HUU.

  Unaweza ukasema wapo kimya sana labda baada ya uzinduzi wao wa albamu ya TAKE A VICTORY AUDIO ambapo video ilikuwa bado lakin ilienda kufanyiwa huko nchi za wenzetu kwa sasa HIGHGOSPEL imethibitisha kama ipo njian na ipo kitofauti sio kama wengi walivyozoea kuona video tofauti tofauti ambazo zinakuwa zinafanyika hapa nyumbani kwetu kwahivyo kaa tayari kwa TAKE A VICTORY VIDEO

No comments:

Post a Comment