"UPO HAPA" Albam mpya ya John Lisu atkayoizundua hivi karibuni na kusindikizwa na waimbaji wengineo wengi.
Hiv karibuni mwimbaji aliyefanya vizuri na mwenye historia kubwa hapa Tanzania katika Muzik wa Gospelna Wakwanza kufanya live Recording ya Dvd JEHOVA YU HAI iliyobeba picha na uhalisia na maana ya kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizomo ndani ya albamu hiyo iliyokuwa ya kwanza .
sasa basi hiv karibun John Lisu atazindua Albamu yake ingine iliyobeba jina la UPO HAPA atakayoizundulia
CCC Upanga Dar es salaam tareh 9/02/2013 ambapo atasindikizwa na waimbaji wengi wa muziki wa Gospel na wanaofanya vizuri pia kama Pastor Safari,Cosmas chidumule,Glorious celebration,Bomby johnson, The voice pamoja na Next level kuanzia saa nane mchana kama wewe ni mkazi wa Dar es salaam ama mkoani bado unanafasi ya kuwahi usikose kushiriki baraka hiyo.
No comments:
Post a Comment