GLORIOUS CELEBRATION WAKIWA KATIKA POZI
Unapoongelea vikundi ambavyo vinavyofanya vizuri hapa tanzania glorious ni mojawapo kutokana na kazi yao lakin vilevile albamu ingine mpya ipo jikon hivi karibuni itakuwa imeachiliwa baada ya HIGHGOSPEL kufanya mahojiano na kiongozi wa band hiyo Emanueli Mabisa"tunatarajia makubwa katika albamu yetu mpya ambayo hivi karibuni tutaichia albamu ingine mpya na tunamuamini mungu atafanya kupitia albamu hii wengi watabarikiwa na watafunguliwa wakiwa wanasikiliza nyimbo hizi mpya na mungu awabariki" Hayo aliyasema Emanuel mabisa
No comments:
Post a Comment