Friday, March 29, 2013

IBADA MAALUMU KWAAJILI YA KUOMBEA KANISA LA TANZANIA

IBADA MAALUMU INAYOWAKUTANISHA  WAPENTEKOSTE WOTE DAR ES SALAAM 
Kama wew ni mkazi wa mikoani hakija kupita kitu utafikiwa tu siku za karibuni 

Thursday, March 28, 2013

AGAPE WORLD MINISTRY KATIKA IBADA


MOJA YA PICHA YA MSHIRIKA WA AGAPE WORLD MINISTRY AKIWA KATIKA UWEPO

Najua unamengi ambayo ungependa upate ukombozi katika mambo mengi ambayo yanakusibu katika hali moja au nyingine usiwaze karibu jumapili hii AGAPE WORLD MINISTRY katika ibada ya pasaka mambo ya ajabu yatakwenda kutokea na bwana atajidhihirisha. 

SEMINA YA UKOMBOZI AGAPE WORLD MINISTRY

SEMINA YA UKOMBOZI AGAPE WORLD MINISTRY YAJA KIVINGINE NCHINI.

Hayo yamejiri tokea mwanzo wa semina mpaka sasa watu wamefunguliwa upeo katika njanja tofauti tofauti kama utataka kujua nini kilijiri wala uswaze kupitia blog hiiutajua mengi na utaona yaliyojiri. Ubarikiwe