Tuesday, April 23, 2013

HII NI PICHA NYINGINE YA JINSI NGUVU ZA MUNGU ZINAVYOFANYA KAZI

Unaweza dhani kama ni maigizo wakati mwingine lakini hichi ni kitu cha ukweli kipo na ukitaka kujua karibu AGAPE CHURCH Uuje ukutane na nguvu za mungu zikifanya kazi kwa namna ya tofauti.

NGUVU YA MUNGU INAPOFANYA KAZI UNAWEZA SHANGAA SANA

Unaweza jiuliza ni nini kimemtokea binti huyu....hii ni nguvu ya mungu ikiwa inafanya kazi ya kurekebisha yale yanayowasibu watoto wake yaani wew mwanadamu uliyeumbwa kwa mfano wake.

Friday, March 29, 2013

IBADA MAALUMU KWAAJILI YA KUOMBEA KANISA LA TANZANIA

IBADA MAALUMU INAYOWAKUTANISHA  WAPENTEKOSTE WOTE DAR ES SALAAM 
Kama wew ni mkazi wa mikoani hakija kupita kitu utafikiwa tu siku za karibuni